Bitcoin

Sarafu ya hali ya juu. Malipo ya mtandao yenye ufanisi mkubwa.

Bitcoin ni sarafu mpya ya kidijiti inayowezesha malipo madhubuti na ya papo, kwa mtu yeyote, popote duniani. Inatumia teknolojia ya mtandao ngamizi rika, inayoiezesha kutumika bila mamlaka kuu. Badala yake, ununuzi na kutoa fedha zinafanywa pamoja na mtandao. Bitcoin pia ni jina la programu huria inayotuezesha kutumia fedha hii.

Bitcoin ni..

Salama

Bitcoin huthibitisha mashirikiano na kuzificha kisiri, ikitumia hali ya juu ya sanaa itumiwayo jeshini na katika serikali.

Isiyo na mamlaka kuu

Bitcoin ni programu huria na la wazi chanzo. Hakuna mtu aliye na miliki yake, mteja maarufu inaimarishwa na jamii ya watengenezaji na tena teja nzingine nzuri zinapatikana. Aidha, mtandao hutumia mtandao madaraka ya maelfu ya sava na kompyuta.

Huokoa fedha

Kutumia mtandao wa Bitcoin ni bure, ila kwa ajili ya ada ya hiari unayoweza kutumia ili kuharakisha usindikaji ya ununuzi.Ina manufaa gani kwa wafanya biashara?

Malipo ya Bitcoin yanaweza kukubalika popote duniani bila hatari ya malipo kugeuzwa. Ada ya chini inamaanisha kuwa unaweza kupitisha akiba ya juu kwa wateja wako na kupata faida zaidi ukijilinganisha na wafanyabiashara wengine. Manunuzi yaliyothibitika, zinahifadhiwa na mtandao mkubwa.


Uko tayari kuanza?

Shusha programu ya simu: Programu ya Blockchain.info Bitcoin Spinner Mkoba wa Bitcoin

Shusha programu ya kompyuta: Bitcoin-Qt / bitcoind Multibit Electrum ArmoryUnatafuta maelezo zaidi?


Maudhui leseni huru ya Creative Unported 3.0 - Can you help translate this site? Email us - Support Bitcoins.co.ke: 179Smkr31RdKXNNG9m4DMrcN3EfuCoR486